TatuaMzuka

TatuaMzuka

Rank

26.1%

Score

4.3

Installs

~21700

Ratings

1 / day

By E Media Category Adventure

Description & Details


Pata namba tatu za ushindi katika droo ya Tatu Mzuka Tanzania.

TatuaMzuka inakupa nafasi ya kujishindia mamilioni ya TatuMzuka kwa kukupatia namba inayoweza kushinda.

👉Kwanza Download Application ya Tatua Mzuka hapa

👉Kisha fungua Application yako, utaona maelezo ya kutumia application hii pamoja na kitufe chekundu na maandishi meupe kimeandikwa "BOFYA HAPA"

👉Bofya hicho kitufe na subiria wakati namba ina tengenezwa.

👉Baada ya muda namba tatu zitatokea pamoja na asilimia ngapi hio namba inaweza ikaibuka na ushindi.

👍Tumia namba hio pamoja ukiacha nafasi na kuandika JAYE wakati unafanya malipo

💥ANGALIZO:💥
Ili uweze kuhakikisha ushindi:
1. Hakikisha unatumia namba yenye asilimia kubwa kuliko. Mfano: namba zenye asilimia 80% na kuendelea huondoka kidedea.
2. Hakikisha unaandika neno JAYE mwishoni mwa namba hio wakati wa malipo. Mfano 454 JAYE
3. Unaweza ukaangalia washindi wa siku kwa kubofya kitufe cha kinachosema ANGALIA WASHINDI WA LEO.

Sambaza Upendo.

First Seen
2018-02-19
Last Seen
2018-03-21
Updated
2018-02-19
Ratings
450
SOME Signals
0
Version
1.3.1
Size
Unknown
Android Version
4.1 and up
Content Rating
Rated for 3+
Installs (Google)
10000 - 50000
APK Name
com.evancejaye.tatuamzuka

Latest Ratings


K 5
I guess the app is wonderful because i haven't finished writting that it was today i found the numbers @10:00 which someone has won 6,6,8 it was because of the delay ... Actuall i could won today..😱😭
Ephrem 1
its lying...haina asilimia za kumfanya mtu abashiri....mfano zinakuja asilimia 62 halafu kwenye dro inashinda ukihakiki inakuletea asilimia 24 kwa hiyo ukweli kwenye hii app haupo au mfanye marekebisho ya application yenu....
michael 4
It doesn't predict what time the number Will appeared but all numbers are present The app I like it because if you creates numbers today they will appear tomorrow. It is a good app
walter 2
It doesn't predict its just a prank although number are there this is because it doesn't show the number of the draw and even if u pick the most rated numbers still you loose in short huu niuwizi tu emacheni jaman
daniel 5
Imani yako ni bahati kwako maana kila aaminiye katika ushindi kwa imani hushinda.
tamson 5
app ipo vzr sema t namba za ushnd hz cy za kwel nmejarb mala nying t but congration.lakn mbna hzo namba za kijan sizion znakuja nyekundu t! Nfanye ñn kuzpata
Hassan 4
It's good but you have to put a little more effort to make it better
2
Punguzeni matangazo na pia hizo asilimia mbn nazo ukiweka kwenye kubwa hupati
Jerry 2
Huchelewa kuleta namba zilizoshinda hukaa hata Siku tatu,
Jackson 5
Nmekuwa nkicheza. Lakin mala nying sana cpati ujumbe kuwa nmeshnda au nmeshindwa
3
App naona leo imesumbua sana now IPO kama copy

Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot

Follow us on social media

Stay up to date with all the latest releases!

Rating Histogram HistoryRating Count HistoryWhat do you think about TatuaMzuka?

Is there better alternative around? - Let us know!

You might like these Apps Too!

Subscribe To Our Newsletter

Subscribe to out newsletter and stay updated on the latest and greatest android apps!